JIFUNZE KUKAA KIMYA KTK MAZINGIRA HAYA
JIFUNZE KUKAA KIMYA KTK MAZINGIRA HAYA
1. Kaakimya pale unapokuwa na hasira kali
2. Kaakimya unapokosauhakika wa kile unachozungumza
3. Kaa kimya pale ambapo haujathibitisha ukweli wa kile unachotaka kukisema
4. Kaakimya kama maneno yako yataleta maudhi
5. Kaakimya wakati ambao unapaswa kusikiliza
6. Kaakimya pale ambapo unataka kukejeli au kudhihaki mambo ya ukweli
7. Kaakimya pale ambapo unataka kuleta mzaha au kusababisha dhambi
8. Kaa kimya pale ambapo unajua utayaonea aibu maneno yako baadae
9. Kaakimya pale ambapo maneno yako yataleta picha mbaya
10. Kaakimya kama hilo suala halikuhusu
11. Kaakimya kama unaona utalazimika kusema uongo
12. Kaakimya kama unajuakabisa kuwa maneno yako yataharibu au kuumiza hadhi ya mtu
13. Kaakimya kama maneno yako yataharibu urafiki wenu
14. Kaakimya kama nia yako ni kupinga tu
15. Kaakimya kama maneno yako yatamuaibisha Mungu au familia yako
16. Kaakimya kama unajua kuwa utakujakuyajutia maneno yako baadae
17. Kaakimya kama umeshazungumza tena na tena na hakuna kinachobadilika
18. Kaakimya kama unatakiwa kuwa bize kufanyakazi #ChrisMauki

No comments