UMREMBO UMZURI KWELI KILA MMOJA ANAKUPENDA
UMREMBO UMZURI KWELI KILA MMOJA ANAKUPENDA
Hakika unavutia na ni Mrembo je hiyo inatosha wewe kuwadharau wenzako hapo kwenye kwaya wataka kila unachotaka ndicho kifanyike kwa kuwa umrembo wafahamu kuwa kila mmoja kaumbwa kwa mfano wa Mungu ni vyema ukautumia uzuri wako vizuri na sikusababisha au kuwakwaza wenzanko maana kumbuka kila mmoja kaumbwa kwa mfano wa Mungu.
Badilika kuanzia leo na anza kuutumia uzuri wako katika mema yatakayofanya mtu akikuona na uzuri wako wamtukuze Mungu utabarikiwa
No comments