JITIE MOYO MWENYEWE
Katika haya maisha ya kila siku unaweza lalamika kuwa mbona
hakuna akukutia Moyo mimi nakuambia jitie Moyo Mwenyewe hakika utaona
mabadiliko makubwa usije subiaria wengine wakutie Moyo utaumia Bure
nakulalamika kuwa kwanini hakuna wakukutia Moyo.
Kumbe yatakiwa uanze kusonga mbele wewe kwa kuanza kujitia
Moyo anza leo.
Email:ellymsuya@gmail.com
www.youtube.com/kingdombusinesstv
www.kingdombusinesstv.blogspot.com
No comments