HADITHI YENYE MAANA KWAKO WEWE UNAYESOM #YaiTV
Nilipokuwa mdogo nilikuwa namuona MAMA akichambua maharage, alikuwa anaweka *maharage mazima* kwenye sufuria ya kupikia, na maharage mabovu alikuwa anayatoa kisha anayatupa mbali jalalani.!
Chakushangaza.. mvua ikinyesha maharge yale yale mabovu ndio yanakuwa ya kwanza kuota na kuchipua..lakini si yalitupwa yakionekana hayafai?
Yalitupwa yakiwa mabovu yasiyofaa.. lakini yanaota...kwa nini yanaota?kisha yanatoa maharage mengine mazima na bora zaidi kuliko yalivyotupwa mwanzo yakiwa mabovu?

Hii imenifanya nijifunze kuwa ni muda au wakati tu ndiyo utakao amua hatma yako.. Pia jinsi Mungu anavyokuaona ni tofauti kabisa na watu wanavyokuona..
Inawezekana ukaonwa au ukajiona au ukaonekana kama maharage mabovu leo.. lakini hakika mvua ya Mungu ikikunyeshea UTAOTA na kuwa wa thamani na KUZAA au KUTENGENEZA WATU WENGINE BORA ZAIDI YA WEWE..

Inahitaji wakati tu
Uvumilivu,utii,unyenyekevu, hekima, Busara,kujitoa na kujituma kwa bidii ..
Na kujua kusudi la Mungu na mawazo ya Mungu kwako ni tofauti na yawanadamu..

USIKATE TAMAA WALA USIVUNJIKE MOYO
YOUR RAIN SEASON IS COMING
Wewe ni bora na unafaa sana.!
Kila jambo chini ya jua lina wakati wake haijalishi jinsi ulivyo leo bali iangalie na kuisubiria kesho kwa shauku,amka kumekucha sasa jitahidi fanya kazi kwa bidii mafanikio utayaona.

*Network is better than Notwork*
No comments