PAMBAZUKO JIPYA

Breaking News

AMINI UTABADILIKA NAKUBAKIA NA USHUHUDA



AMINI UTABADILIKA NAKUBAKIA NA USHUHUDA

Ukiona mtu ana Kovu waweza muliza ilikuweje hiyo hubakia kama kumbukumbu yakilichotokea siku za nyuma ila wako wanaendelea na maumivu mioyoni kwa kuliona KOVU sasa leo Geuza kovu kuwa ushuhuda na si maumivu Endelevu Songa mele una Hatima Njema hata Tomaso alithibitisha makovu kwa Mesia ile ilikuwa ni Ushuhuda Tosha kuwa ndie yeye aliyeshinda Kifu na Mauti nawewe Ushindi unao Hakika acha kulia Lia

Kwa Masomo zaidi Tembelea

wwww.youtube.com/kingdombusinesstv
www.kingdombusinesstv.blogspot.com

No comments