PAMBAZUKO JIPYA

Breaking News

WEWE NI MKE AU MKENGEUKAJI?... Elirehema Msuya





Ukengeukaji maana yake Rahisi ni kuacha njia ipasayo au kukana lile kusudio lililolengwa iwe kiimani ama patano flani utaona kimandiko mke ni  Msaidizi ukiwa msaidizi unatakiwa uifahamu kazi vizuri hapo utaweza saidia vyema sasa kama hujui unachotakiwa kukisaidia hii ni Hatari acha kuwa chama Pinzani ndani ya Familia maana hata vyama huwa vinataratibu zake na mkiwa chama kimoja ukileta sera sara za chama kingine hapo hamtasonga chaweza kuvunjika na kufarakana kabisa,



Ukiona kila siku wewe nikupinga na kupambana kama wajuwa ulichotakiwa kukifanya na hukifanyi, Basi umekengeuka hauko katika nafasi yako ya kuwa mke. Rudi kwenye Track tusadiane kulifanya kusudi la Mungu uliza wewe unamchango mkubwa sana kumbuka msadizi hufanya kazi saa nyingine kwa weledi zaidi ya aliyepewa jukumu au maono hapa nasema fanya kwa nguvu zako zote lije Juwa ije Mvua Kusudi litimie.



Nakuachia Kidonge chakumeza kutwa mara Tatu kwa afya Bora ya Familia Wagalatia 5:22,23 usisahau kama Panadol Waefeso 5:22



Ukitaka kuendelea kupata masomo Mazuri yenye Weledi usisahau ku shara na ku Subscribe chanell yetu na kupitia Blog hapo chini na waweza wasiliana kupitia simu +255768121012(Whatsaap)



www.youtube.com/kingdombusinesstv

www.kingdombusinesstv.blogspot.com

No comments