Breaking News

HII NI KWA WANAUME


WANAUME! 
1.BOAZI-Nini wajibu wangu kama Mwanamume? EFE 5:25
2. JONATHAN NA DAUDI -Marafiki -Je! Ninawahitaji? Mit 17:17.
3.SULEIMANI NA ZAKAYO. Moyo wangu ukoje ktk suala la kazi.. Pesa Je? Kol 3:23-24
4.DANIEL NA MORDEKAI -Nawezaje kuwa mwaminifu na mtu anayemcha Mungu kama raia wa kawaida hasa ninapofanya kazi ktk Serikali. Tito 3:1
5.NEBUKADNEZA-Huwa nina mwitikio wa kiburi? Au Unyenyekevu? -Yak.4:6a
6.YOHANA MBATIZAJI NA SAMUEL -Je! Mungu Ana mipango na maisha yangu? Isa 49:1b.
7.MITUME 12.Ninawekaje vipaumbele vyangu? Mt 6:33.
8.PETRO.Je! Naweza kupata uponyaji kwa yaliyonijeruhi nã kushindwa kwangu huko nyuma? 1Pet 5:10
9.STEPHANO NA TIMOTHEO -Nafasi yangu ni ipi ktk mwili wa Kristo? EFE 4:15-16.
10.PAULO NA KORNELIO. Ni kwa vipi naweza kuwa na maisha yenye matunda ktk maombi? Kol 1:10.
11.YOHANA-MWANAFUNZI ALIYEPENDWA! Hatima yangu ya mbele na tumaini langu ni lipi? Ikiwa ni ktk dunia hii na baada ya maisha haya! Yer 29:11
12.YESU WA NAZARETHI -Nifanye nini, Na huyu Yesu aitwaye Kristo? Yoh 19:5b.Yako mengi ndani ya hao wachache wanaume waliotajwa nã zaidi ya hao, ambao ktk hao tunaweza kufanya study kama wanaume na yumkini tukawa bora zaidi ya hapa tulipo! Nikutakie study njema!

 Mwl.Kyombo Phanuel Paul -Dar
+255767475486,655475506

No comments