KUMBUKA INJILI SI MPIRA WA MIGUU AU SIASA
Ushabiki wako wa Siasa na Mpira wa Miguu je unakumbuka
kusudi lako katika hii Dunia? au umejisahau Angalia Mpira usije ukadunda na
Maisha yako nasi tukakusahau.
Isaya 22:18 Hakika atakukunja na kukutupa kama mpira, mpaka
nchi iliyo mbali; huko utakufa, na magari ya utukufu wako yatakuwa kuko huko,
ewe uliye aibu ya nyumba ya bwana wako.
Usisahau ku Subscribe Youtube Channel Yetu
www.youtube.com/kingdombusinesstv
No comments