PAMBAZUKO JIPYA

Breaking News

MWANAUME MKOROFI DAWA YAKE HESHIMA NA UNYENYEKEVU

Hakuna Mwanaume Mkorofi mbele ya Mwanamke Mwenye Heshima na Mnyenyekevu Never haijawahi tokea kwenye Sayari hii ya Dunia, Waefeso 5:22

Wewe endelea kutafuta Mganga na kukesha kanisani kwa maombi au kujitolea kama Parish worker wa KKKT Mjini kati ukadhani ndio utafanikiwa hapo nakuambia unasubiria Meli Sand ya Bus.

www.youtube.com/kingdombusinesstv

No comments