PAMBAZUKO JIPYA

Breaking News

MAISHA NI MASWALI...

Nilikuwa nikimsikiliza Dr.ELIE V.D WAMINIAN akanifundisha jambo moja kwamba LIFE IS A SEQUENCE OF QUESTIONS,Maisha ni mtiririko wa Maswali ambayo wengine wakaita CHANGAMOTO,ambapo anayetarajia kuishi anatakiwa kujua kuwa KUISHI ni kujibu Maswali hayo,Ndiyo maana wanaoishi ni wachache ila wanaotarajia kuishi ni wengi,kuishi sio kuhema,LIVING/LIVE is Responding, yaani kuishi ni kujibu,kutoka majibu kwa Maswali mbalimbali ktk dunia hii,RESPONSIBILITY is not to have money,wife/husband/children and things but Responsibility is to Respond,Kwamba wajibu sio kuwa na pesa,mke,mume,au watoto na vitu hapana,Wajubu ni kujibu.

Dunia hii INA Maswali mengi sana,na kila MTU aliyepo duniani ana swali lake analotakiwa kujibu,mfano Dr.Elie v.d Anajibu na ni jibu LA saikolojia na falsafa Tanzania na duniani,Reginald Mengi amekuwa jibu LA mapinduzi ya habari na mawasiliano na jibu kwa uchumi wa kujitegemea kwa vijana wengi,BILL GATE Amekuwa jibu kwa Maswali ya Teknolojia ya Mawasiliano ya compyuta na internet,ukitatua au ukijibu swali tunasema Unaishi,Ila wale wote wenye Ndoto za kuwa flani, na flani na Ndiyo wengi sana duniani,Hawa Wanatarajia kuishi.

Tafuta swali lako, Toa Majibu yake Ndiyo Mafanikio yako makubwa sana,Unatamani kufanikiwa wakati hujui Thamani yako iko wapi?,Thamani yako imebebwa ndani ya JAWABU utakalotoa kwa Swali linalosumbua jamii yako,NCHI na dunia yako, Hakikisha Ndoto yako iwe na majibu kwa Maswali ya jamii nzima Ndiyo mafanikio hayo, sio unataka kujibu tamaa zako, au unawaza pesa tuu,hapana,Ukiwaza pesa tuu,utasubiri sana,utabaki kuita wale wamefanikiwa,wale ni matajiri,wale wanaheshimika n.k Kumbe Hukuwa na Mtazamo wa kujibu, MONEY IS A REWARD AFTER SOLVING SOMEBODY'S PROBLEM,PESA ni ZAWADI baada ya kutatua tatizo LA MTU Fulani, Hivyo usiwaze pesa ukitaka kufanikiwa waza Jibu LA swali LA jamii yako,NCHI na dunia.JIULIZE SWALI LAKO NI LIPI? MAJIBU YAKE UNAPATAJE!!?

#AhsanteDRELIEVDWAMINIAN.

0762490145

No comments