IS NOT EASY,IS NOT EASY.....SIO RAHISI...
Ni kweli,sio rahisi kufika unakoona watu wanaokukonga moyo kimaisha wamefika,Sio rahisi Rahisi kufikia viwango vya biashara,kilimo,ufugaji,ndoa, na mahusiano,unavyotamani...sio Rahisi..Kuacha kundi LA marafiki zako unaoshinda nao ili uheshimu muda na ufanye kazi itakayokufikisha unakotamani ,SIO rahisi,kuacha usingizi na ukalala SAA sita,ukaamka SAA kumi,ili uweke mwili sawa na tayari kwa ratiba za ndoto yako,Sio rahisi,Kuweka mikakati na mipango ukiwa huna hela na utafute hela utimize,Sio rahisi kuamua kulala njaa na kula vyakula visivyo vya kawaida sana ili tu,Utumie kafedha kadogo unakopata kwenye Kazi ya ndoto yako.. Sio rahisi Kuacha kutumia Kuacha kununua nguo kikawaida,ukanunua Mara moja kwa mwaka,Kuacha kuweka vocha hovyo na kuwasiliana na watu bila sababu ya Msingi kutokana na kuhitajika kuwa karibu sana na Ratiba zako,.sio Rahisi nakwambia..Sio rahisi kuvumilia maneno ya watu wanaokusema na kukuzogoa kisa hushindi nao,huwapigii simu Mara kwa Mara,kisa huendi kijiweni wakikuita mpaka wakasema unajidai,sio rahisi kuyapitia hayo na ukavumilia mpaka mwisho,Sio Rahisi..Sio Rahisi kushinda maneno ya kukatisha tamaa,kuvunja moyo Hali ya kushindwa,changamoto ngumu na kubwa lakini bado kuwa na mtazamo wa Ushindi,Sio Rahisi...
Ukitaka kufikia Ndoto yako lazima ujitoe kuliko uwezo wako wa kudhani na kufikiri kuhusu ndoto unayoiendea,una hitaji kujipanga kisaikolojia,kifikra,kimwili, kiafya kupambana na hali,changamoto tajwa hapo juu,Maana SIO RAHISI..is Not Easy..mmmh..sio rahisi ndugu msomaji wangu,Usiishie kufikiri kawaida tuu kwa kusoma ujumbe huu,ila Inakuhitaji kuwa Wewe WA ziada,sio wewe wa kawaida lazima Uvae wewe wa ziada,uliyezaliwa siku ya kwanza,Sio wewe uliyevaa ukawaida..,Hakuna Kazi Rahisi, wala hakuna aliyefanikiwa kwa urahisi Ila wewe ndiyo unatakiwa kuwa Rahisi... Maana ikiwa sio Rahisi kufikia ndoto,nawewe ukiwa sio mrahisi kujitoa hutakuja fika unakohitaji,Wewe kuwa mrahisi kuwa karibu na kila hali,mazingira,na uhitaji wa kile unachokifanya ili uone urahisi wa kujitoa kwacho na utakavyofanikiwa,IS NOT EASY to be whom you want,to be where you wish,to brcomey the person,the husband,the wife,the leader,YOU wish to be,Yes..Is not easy..,Is not easy to win friends,to win around people bad and negative influence, IT NEEDS,Confidences, self
#TETE,#MotivationaSpeaker,Sadicktete24@gmail, 0762490145.
No comments