JE WAJUWA CHANGAMOTO NI MTAJI?
Hizo Changamoto zinazonekana ni kero hata kwako nakumbia huo ni mtaji maana kama mahali kuna changamoto ya maji chimba kisima utaona kwa kutatua kwako hilo Tatizo wewe limebadilika na kuwa Fursa acha kulalamika na kulia lia badili Changamoto kuwa Fursa.
No comments