TATHMINI,
Leo ni 6.3.2018 mwezi
wa Tatu ktk ule mwaka uliosema Mwakani lazima nifanye,jiulize umefanya nini
mpaka Leo kama sehemu ya kuivunjavunja ndoto yako?,kama sehemu ya kutimiza
malengo yako? Au ndio unaendelea kutimiza utaratibu wa watu wengi wanaojua
kupanga na kutoa visingizio vingi vya kutokutimiza kwao,kupanga kwingi na
kuzuri kutimiza ni ndoto za jua Kali. Tathmini,Umefanya nini mpaka sasa?na Leo
hii,miongoni mwa Yale Malengo yako ya Mwaka huu? Unajionaje na kujichukuliaje
kupanga vitu ambavyo mpaka sasa hivi hujafanya hata kimoja?
0762490145.
No comments