VISION IS PATIENT...
Ukiona una maono
makubwa halafu huna Uvumilivu,hesabu mafanikio kwa Wengine.,Hakuna MTU mwenye
Maono/ndoto halafu akakosa uvumilivu,akakosa kusubiri,maana MAONO yanakutana na
upinzani mkubwa sana,vikwazo vingi sana,vikatisha tamaa vingi mno,hali ngumu
sana na wakati mwingine wategemezi wa karibu sana unaowaona ndio wana mtazamo
chanya na watakusaidia ndiyo wanakuwa wa kwanza kuandaa plans ya kukufanya
ushindwe ktk Maono/Ndoto yako,Kumbe bhasi,Ukiona una MAONO,/NDOTO halafu
unataka kufanikiwa haraka,una hasira na changsmoto zinazotokea,Huna UVUMILIVU
na asili ya mpiganaji,(WARRIOR),HESABU tu Mafanikio ya watu Wengine.HAKUNA
miujiza ya kufanikiwa kama huwezi Subiri na vumilia.
#Visionpatient.
#TETE,#MotivationalSpeaker,Sadicktete24@gmail.com
0762490145,
No comments