PAMBAZUKO JIPYA

Breaking News

MUNGU ANAMAKUSUDI NA KILA MMOJA WEWE NI WA PEKEE...

New York iko masaa 3 mbele ya Calfornia...lakini hii haimaanishi Calfornia inaenda taratibu au labda New York iko mbio sana..Zote ziko sawa isipokuwa kila moja ina TIME ZONE yake



Kuna mtu yuko single sasa hivi. Kuna mtu ameolewa na kusubiri miaka 10 kabla ya kupata mtoto..wakati kuna mtu amepata mtoto ndani ya mwaka wa kwanza wa ndoa

Au, kuna mtu amemaliza degree akiwa na miaka 22, lakini akasubiri miaka 5 kabla ya kupata kazi, wakati kuna mwingine amemaliza degree akiwa na miaka 27  na akapata kazi mwaka huo huo

Kuna mtu kawa mkurugenzi akiwa na miaka 25 na kufariki akiwa na umri wa miaka 50 , wakati mwingine amepata ukurugenzi akiwa na miaka 50 na kuishi mpaka miaka 90 

Kila mmoja anaishi kulinga na TIME ZONE yake

RAFIKI ZAKO, NDUGU ZAKO AU WADOGO ZAKO WANAWEZA KUONEKANA MBELE YAKO , AU WENGINE NYUMA YAKO
KILA MMOJA HAPA DUNIANI ANATEMBEA/KUISHI KWENYE BARABARA YAKE PEKE YAKE YA MUDA..MUNGU ANA MPANGO TOFAUTI KWA KILA BINADAMU..TOFAUTI NI MUDA TU..
Tazama , Obama anastaafu akiwa na miaka 55, Trump anaanza akiwa na 70. 

USIMWONEE WIVU ,WALA KUMLAUMU MTU, KILA MMOJA NA TIMEZONE YAKE

ENDELEA  KUJIAMINI, KILA KITU KITAKUWA SAWA.

HAUJAWAHI WALA HAUJACHELEWA..ISSUE NI TIMEZONE YAKO TU

USIUMIZWE SANA KICHWA KWAMBA ..MBONA MWENZANGU KAJENGA MIMI BADO, ANA GARI MIMI SINA, KAOLEWA MIMI BADO..KAOA MIMI BADO....NK

CHAPA KAZI KWA BIDII,HUKU UKISUBIRIA MUDA WAKO..MCHE MUNGU UMTEGEMEE...KILA UFANYALO FANYA KWA IMANI...Imani..Faith..Kamwe haimaanishi KUKATAA/KUPINGA kuwa kuna tatizo/matatizo..Its not a denial that theres no problem..ILA NI KUAMINI BILA CHEMBE YA SHAKA KWAMBA MUNGU YU NAWE NA HAKUNA KUBWA JUU YAKE.

No comments