A POINT OF PAIN...A SCAR OF VALUE
Siri ya Mafanikio,pamoja na kujituma sana unakoweza jitoa,pamoja na changamoto nyingi sana,unazotakiwa kukumbana nazo, au unazokumbana nazo, Bado kitu na kialama pekee na siri kubwa ni LAZIMA UFIKIE HATUA FLANI YA MAUMIVU MAKALI SANA,Hatua ambayo itakuachia Maumivu makali sana,ambayo utakumbuka historia yako,utakumbuka Changamoto zako, na ulivyoteseka lakini HILI LA MAUMIVU MAKALI LITAKUWA ZAIDI NA Utadhani sasa kuchoka na utafikia hatua ya kuGive up,kata tamaa kwa kazi unayoifanya,.
Ukiona hali hiyo ujue MAFANIKIO YAKO YANAKARIBIA lakini kwa nguvu na akili zaidi ya zile za kwanza, na MAUMIVU hayo ukumbuke ndio itakuwa KOVU LAKO LA THAMANI,mfano,umeishi kiutafutaji na changamoto nyingi,lakini bado unakutana na hali,UMefukuzwa nyumba uliyopanga na huna chakula ukaanza kulala nje kwenye penu za watu,umefikia hatua umeuza mpaka nyumba,nguo,ili tu uongezee mtaji ulioingia hasara,ukaanza kulala stand ndani ya magari kama msafiri,umefikia hatua umetengwa na marafiki na ndugu na hawataki kusikia ukuwaomba msaada,kisa ulikuwa busy na kupambana, na MAUMIVU MAKALI ya kulala njaa nk bado ukawa huoni Mambo yakienda.. Hilo ndio KOVU LA THAMANI,na MAUMIVU ya kimafanikio,Kaza zaidi,jitoe zaidi,ongeza maarifa ya kupambana zaidi ndio wakati wa USHINDI huo,ndio wakati wa kubadili jina na kuwa jina kubwa,ni wakati wa ndugu,jamaa na marafiki waliokutenga kurudi na kukuona wa Thamani zaidi kuliko awali...A POINT OF PAIN,..A scar of value..kovu hilo hutolisahau kamwe maisha yako yote ya kimafanikio,. ..
#TETE,#MotivationalSpeaker,Sad icktete24@gmail.com,0762490145
No comments