PAMBAZUKO JIPYA

Breaking News

SIRI YA PESA..


Jamaani kitu unahitaji kukijua kwa pesa ni kwamba,PESA HAIHESABIWI UNAYO IKIWA MKONONI? INAITWA UNAYO ENDAPO HIYO YA MKONONI INA MADHARA CHANYA KWA KUFANYA VITU  VINAVYOONEKANA NA VITAKAVYOKUMBUKWA ZAIDI YAKO MILELE.,HAPO UNA PESA.

PESA,Haifichwi jamani,wala haibaniwi maana ukibania,utakuja itoa hata usipostahili kuitoa,utakuja nunua hata kisicho msingi,Ila PESA INAPEWA NIDHAMU,WEKEWA NIDHAMU,na NIDHAMU siyo kitu cha mwilini tuu,ni zaidi cha kichwani,bongoni,na huko Bongoni kuwe na IDEA, VISION na PLAN,Yaani kuwe na WAZO,MAONO NA MIPANGO, hivyo vitajenga NIDHAMU ya pesa,na wanaokuzunguka watakuita Bahiri,na mchoyo,au mbanizi.

Pesa haionekani,Inajulikana na kueleweka basi, Wanaotaka kuiona pesa wengi mpaka sasa ni masikini na hawajajua kuwa utajiri sio kuonesha PESA,Utajiri ni THAMANI,Na thamani HAIONEKANI Kwa MACHO, MPAKA UIJUE NA UIELEWE,.....na ukitaka kujua na kuelewa UBONGO utumike sana,Kichwa..sio kukaa tu et PESA utakuja tu ni ridhiki Mungu anapanga,wewe usimdanganye wewe aliyeko ndani yako.

#TETE,#MotivationalSpeaker,Sadicktete24@gmail.com, 0762490145.

No comments