PAMBAZUKO JIPYA

Breaking News

You will never make a progress unless you change your moves


Katongo Wisdom 

(You will never make a progress unless you change your moves ) Hauwezi kuleta maendeleo kwenye maisha yako mpaka utakapo badilisha aina ya hatua au ufanyaji wako wa mambo !!!

Watu wengi hutamani matokeo tofauti kwenye maisha yao bila kujaribu kuboresha mfumo wao wa fikra na utendaji... (you are not Different from your thoughts ....in fact you are the product of your thinking process ) ukweli ni kwamba wewe hauko tofauti na mawazo yako ....Bali ni matokeo halisi ya mfumo wako wa fikra 

Kama kweli tunahitaji maendeleo (progress ) tunahitajika kila siku kuboresha namna tunavyochakata taarifa na namna ya kuboresha utendaji wetu wa shughuli ZETU za kila siku.

Usikubali kuwa na viwango vilevile vya mwaka 2017.... Amua kuwa na viwango vipya na aina bora zaidi ya kuchakata taarifa. 


#killingpoverty 
#mylifemyresponsibility 

#internationalmc 
#mckatongo 
#mbaEsami 
#katongobusinessconsultant 
#+255 764 705049

No comments