PAMBAZUKO JIPYA

Breaking News

KWANINI MATATIZO YAISHE?


KWANINI MATATIZO YAISHE?
Tatizo ni Maisha, Maana Mimi nilizaliwa kuwa Suluhu,hivyo ili nimaanishe uwepo wangu,ninapaswa nisolve(nitatue,nusuluhishe), Tatizo linalokupata wewe, ni Lako,yaani Tatizo lolote linalojitokeza kwako ni lako, usilaumu wala kulalamika,ni LAKO,sio LA mwingine,Ukikimbia unakimbia Maisha yako,Ukitaka MATATIZO YAISHE DUNIANI, maana yake MAISHA YAKO YAISHE.,Furahia kuwa suluhu maana hivyo ulivyo ni suluhu,kila unachokifanya kwa kuishi kwako ni suluhu,Unakula kusolve njaa,unaenda choo kutatua haja,unaoga kutatua uchafu/harufu mbaya,unataka nuru kwasababu kuna Giza,unaona mchana kwasababu kuna Usiku, TATIZO NI MAISHA, KWANINI YAISHE?

Kumbuka MATATIZO hayatakuja kuisha,maana TATIZO lilianza kabla ya Binadamu,ndio maana uliumbwa/kuzaliwa kuwa suluhu,Kumbe Wewe utaisha yaani Maisha yako yatakoma kuliko TATIZO, ndio maana Tunatakiwa kujua kwamba TATIZO unalokutana nalo ni lako sio mwingine, Kazi kwangu kutatua na NDIO MAFANIKIO,TATIZO ndio MAFANIKIO.Ndio Maisha.

#AHSANTEE #DRELLIE,



#TETE,#MotivationalSpeaker

No comments