ANZA NA MWANZO WENYE AWALI ILIYO CHANYA
Watu wangi hupenda kusema flani ndio kanifikisha hapa haya
maisha kama sio hii Nchi nisingefika hapa yani kila wakati yeye anakuwa na
visababu visababishi vya kuonyesha kuwa analakujitetea na anataka jamii imuone kuwa
alionewa na hiyo kuwa unadhuru wa namna alivyotakiwa kufikia malengo
visababishi huanzia na mtu mwenyewe namna ambavyo anachukulia mambo akainzia na
mawazo yake huwezi vuka hapo ulipo kama mawazo yako yapo mashariki nawawe
unatakiwa kufika Ngambo ya pili Magharibi
Kwanini uko hapo kwanini hujafanya namna flani huanzia na
kwako mwenyewe maana kila jambo unaliona hunzia Rohoni halafu badae akili ikishauriana na Nafsi kina kuwa halisia katika Mwili namanisha
kinatendeka sasa na kila mmoja anaweza ona kwa macho ya Nyama chunga sana
Mawazo yako na zuia Nafsi yako isijipende na kuhurumia mwili bali iangalie
Mapenzi ya Mungu yatimie maana yeye ndie aliyetuumba angalia mfano rahisi aliyengeneza Baiskeli au
Gari alitaka limtumikie yeye na sio yeye alitumikie gari vivyo hivyo Mungu kakuumba wewe ni
ili wewe umtumikie na si vingenevyo.
Kwa nini nasema anza na mwanzo wenye awali chanya namanisha
sahau yaliopita panga kuanza kwa mtazamo halisi na wenye ushindi mkuu na haswa
anzia kwenye mawazo yako ondoa lawama na malalamiko Luka 1:6 katika jamii inayokuzunguka Baba alifanya nini Mjomba
alifanya nini Mimi sina elimu yakutosha hiyo ni Historia anza leo acha kabisa kulaumu Nchi
yako hivyo ni visababu visumbufu vishirikishi vyema muonekano wa Kirikina
pasipo kutafakari kwa Kina na kuwa na Mtazamo chana utakao kufanya uachane nakufanya mambo yasio na Faida kwako Leo wala kesho huko nikupoteza Munda ambao
huwezi kuurudisha tena Pesa unaweza pata tena lakini sio Muda.
Waza Chanya Fikiri Chanya Fanya Chanya.
Elirehema Msuya
No comments