MAPAMBANO(FIGHTING).
Maisha siku zote ni mapambano,ni Vita Kali sana,iliyopo kati yako/yangu na Nguvu mbili ya Ushindi na kushindwa,ushindi huleta mafanikio kushindwa huleta Kufeli(umasikini) wa Mali,fikra chanya na utu wema.Jambo moja unahitaji kujua na kuelewa ni kwamba Kama umejua kuwa Maisha ni Vita Mapambano,Unatakiwa kuwa na KUMILIKI SILAHA IMARA NA KALI SANA,silaha ambazo muda wowote upo tayari kupigana,Upo tayari kupambana na Adui yako,Hakikisha Silaha yako hata siku moja haijawekwa chini,haijawekwa mahala ambapo itapoa,itapata ubutu,itapata kutu na udhaifu mkubwa,...Kwanini silaha zako zinahitajika kuwa IMARA kwa sababu changamoto za maisha zinajitokeza kila wakati,Mafanikio maana yake ni Umeshinda,umetatua changamoto/tatizo,Huwezi tatua kama silaha hazija imarika.. Hakikisha unazinoa kila siku na wakati,.
Silaha ni FIKRA CHANYA, MTAZAMO CHANYA, MWELEKEO Na NIA THABITI.. Hata siku moja usilale wala kuamka,Ukiwa na Fikra dhaifu,mtazamo hasi, na kuishi bila mwelekeo wa siku au kudumu na Nia,NOA fikra zako,Mtazamo na Nia kwa kuishi na kutembea na marafiki sahihi wenye Nia kama yako na Fikra chanya,Chuma hunoa Chuma,Marafiki walio juu yako ili uambukizwe nao,Soma post,vitabu na makala yakukufanya uimarike kila wakati,angalia video za hamasa na kukufanya uwe tofauti kiuimara kila wakati kwa ajili ya Mapambano na vita Maisha.Ahsantee sana.#MAISHAVITAMAPAMBANO.
#TETE,#MotivationalSpeaker,sad icktete24@gmail.com
0762490145.
# Lifeisfightingneedsstrongweapo nsandyouArmy.
No comments