PENDA HURUMIA,SIO HURUMIA KUPENDA.
Nimewahi Andika post hii mwaka juzi 2016, Na Nashukuru Dr.Ellie kunikumbusha tena,Leo nikukumbushe tena, NDOA Nyingi na Mahusiano Mengi hayatulia na kuwafanya wanaihusiana kujua Thamani na raha itokanayo na Furaha ya mahusiano au NDOA, kuna MTU ameamua kuoa mwanamkevkisa et Anamhurumia kwa kuwa et kwao ni Yatima,amebaki peke yake, ni masikini,ni Dhaifu au ana ulemavu Fulani, au Ulizaa nae mtoto,au umempa mimba hivyo nimhurumie maana nikimuacha atateseka,MWANAMKE ameolewa na MWANAUME et amenitongoza sasa namuhurumia nikimkatalia ngoja nimkubalie tuu anioe nimsaidie maana ni mlemavu,hana ukorofi,ni mpole sana hajui kuongea,Ndugu UKIMHURUMIA MTU KUMPENDA UTAKUJA JUTA,MAISHA YOTE,ila unachotakiwa kujua na kutambua ni kwamba Mahusiano yanatangulizwa na Upendo nakupenda Hakuna Sababu maana upendo wenyewe ni Sababu,.
Hivyo Unapaswa upende kuhurumia,sio uhurumie kupenda,anayependa kwa sababu Huyo muongo ni chanzo cha migogoro kwa NDOA au mahusiano,Yawezekana ukiambiwa unapendwa kwa sababu ya ukarimu,upole,usafi,sura yako au umbo lako na rangi,kimo urefu au ufupi,My friend hapo ni Uongo,Upendo haujitokezi ktk Utimilifu haswa hujidhirisha ktk Upungufu na Upungufu hauonekani kabla hamjawa wote, kinachoonekana ni Upendo ndipo baadae udhaifu wenu utawakamilisha maana kila mmoja anavutwa na mwenzake kwa mile asichokuwa nacho ili awe nacho kupitia Mwenzake.
Ukitaka kujua Huruma ya Kupenda imewaweka wapi Leo waliohurumiana kupenda,Muhurumie umpende uliyenae,ila ukitaka kujua NDOA zilizi imara na zina shinda changamoto mbalimbali zinazojitokeza,Mpende na mhurumie uliye nae au Jianadae kumoenda na kumuhurumia umtarajiae.Sio ktk Ndoa tuu hata Mahusiano ya Kirafiki na undugu.
#SIHURUMIEKUPENDA,# PENDAKUHURUMIA.
#TETE,#MotivationalSpeaker. With #My lectureMate #DADAZIANA.naikumbuka hii siku DADA YANGU.O762490145
No comments